1:51 AM
Reporter:
Unknown
Kushangaa Kulikuwepo pia.
Read more...
1:36 AM
Reporter:
Unknown
Listen & Download mp3's in....
the MUSIC page at BinamuBinamu.
Read more...
1:28 AM
Reporter:
Unknown
Michuzi Jr, katika ku google around nimekutana na nyimbo ya Sir Nature, Mugambo katika bee mp3 website.ambapo unaweza ku download na kutuma katika simu yako....
kama ringtone only kama nchi yako iko supported na huduma zao. utaipata nyimbo hii kwenye link hii hapa Click Here
Reedz!
Owner Of ReedzSolution
CTU
ReedzSolution Blog
Read more...
12:29 PM
Reporter:
Unknown
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya (bongofleva) hapa nchini Ambwene Yesaya a.k.a Ay hivi karibuni ameukwaa ubalozi wa kinywaji cha Malta Guines Afrika Mashariki
Msanii huyo ambaye kiukweli ni mtaratibu na asiye na makuu,ambapo kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya uitwao Leo ataungana na mabalozi wengine waliochaguliwa kutoka Kenya kwa minajili ya kuitangaza mojawapo ya bidhaa za East afrika Breweries-Malta Guiness....
Ili kudhihirisha hilo,muda si mrefu ujao picha na sauti za mwanamuziki huyo zitatumiwa kwenye matangazo ya kinywaji hicho kisicholewesha na kinachoaminika kuongeza nguvu za mwili.Mbali ya Ay, kuna wasanii wengine ni pamoja na Esther Wahome ambaye ni muimbaji nyota wa nyimbo za injili nchini Kenya pamoja na aDj Adrian.
AY ni moja ya wakongwe wa muziki huu wa kizazi kipya hapa nchini,amewahi kutamba na nyimbo kadhaa ukiwemo wimbo wa Yule,Asubuhi,Leo na nyinginezo nyingi tu.
Read more...